Wednesday, May 08, 2013

WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA CHAMA CHA URAFIKI WA CHINA NA AFRIKA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Chama cha Urafiki kati ya Watu wa China na Afrika(Prsidendt of Chinese -AfricaPeolple'sFriendship Association (CAPFA), Mh.Abulaiti Abudurexiti (katikati) na mkeweGulibusitan Shabitii (kushoto)  baada ya chakula cha mchana alichomwandalia Rais huyo na ujumbe wake kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es laam May 8, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment