Monday, May 06, 2013

ATHARI ZA UJENZI WA MABONDENI KATIKA MANISPAA YA BUKOBA

 Haya ni maeneo ya omukigusha ambayo yamekubwa na mafuriko kufuatia mvua za mfululizo zinazoendelea kunyesha mkoani Kagera, kama inavyoonekana nyumba hizi zimejengwa kwenye bonde.
 Sehemu ya nyumba ya mbunge wa zamani Savelina Mwijage (CUF) ikiwa imekumbwa na mafuriko.


Wananchi wa manispaa ya Bukoba wakishuhudia hali ya mafuriko.

No comments:

Post a Comment