Monday, June 29, 2015

RAIS KIKWETE AWAPOKEA WAPANDA BASIKELI

Kiongozi wa msafara Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) (kulia) na John Mwaipyana (27)  Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa  baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  Bw. John Mwaipyana (27)  mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa  baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia kitabu maalumu alichopewa na kiongozi wa msafara  Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa  baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.

Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwangalia Bw. John Mwaipyana (27)  akionesha uwezo wake wa kucheza sarakasi kwa baiskeli aina ya Phoenix. yeye mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa  baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura

WAZIRI MKUU PINDA MKOANI MWANZA NA MARA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere  wakati alipokwenda kijijini  Butiama mkoani Mara kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mwanza  akitoka Musoma.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na   Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere  wakati alipokwenda Butiama mkoani Mara kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mwanza  akitoka Musoma.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akitazama kifimbo alichozawadiwa  na Mtoto wa Baba wa Taifa, Madaraka Nyerere  (kulia) wakati alipomtembelea mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere kijijini Butiama akiwa njiani kuelekea Mwanza akitoka Musoma,Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Musoma  Zelote Stephen.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana  katika futari iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza  Magesa Mulongo kwenye hoteli ya Malaika mjini Mwanza.

Tuesday, June 23, 2015

BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Peramiho na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge,Jenista Mhagama bungeni mjini Dodoma Juni 22, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama akiteta na Mbunge wa Kibakwe na Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene bungeni mjini Dodoma Juni 22, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mafia , Abdulkarim Shahah  (kulia) na Mbunge wa Moshi Mjini Philemon Ndesamburo (katikati) kwenye jengo la Utawala la  Bunge mjini Dodoma juni 22, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

KIKWETE ATUNUKU NISHANI YA TUMISHI ULIOTUKUKA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhSRPhO6QuoZd-F3668ttZvRdubcx-85Ocpd4x8FZIDKe8K5KpOPhDx5o88qzHMoTwUB0PIRUht2gsCgspSVxeBSKvM7batPyEMK4siZ_8Ox_xWvq9B27Vo1MZvpljuCVpY9U9kW4Le2aw/s640/IMGL0038.JPG
Add caption





https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2KdVY0-OA-i4tATV6XJz7NufICoYeTQaLpmhjMfPtjM3EvlQOjo6y6yfgMplhk0Te0-CJ8htzNE33h3VVPS_RHsX7o-US87DLxgkoX1CE844_qqm6lVBulHQQtDPb8zBTQXOU4-KS_JU/s640/IMGL0026.JPG
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Abbas Kandoro baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza, ambayo hutolewa kwa wananchi waaminifu ambao kwa kujitolea kwao moja kwa moja wamelipatia Taifa sifa katika nyanja za kisiasa, kiuchumi, kiulinzi na kijamii 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Abbas Kandoro baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza, ambayo hutolewa kwa wananchi waaminifu ambao kwa kujitolea kwao moja kwa moja wamelipatia Taifa sifa katika nyanja za kisiasa, kiuchumi, kiulinzi na kijamii

Monday, June 22, 2015

Sherehe ya kula nyama ya mbwa kusini magharibi mwa China imeanza huku kukiwa na pingamizi miongoni mwa wanaharakati wa haki za wanyama.

Takriban mbwa 10,000 watachinjwa na nyama yao kuliwa katika sherehe hizo zitakazofanyika katika eneo la Yulin mkoa wa Guangxi siku ya jumapili na jumatatu ili kuadhimisha kuanza kwa msimu wa joto kulingana na vyombo vya habari vya kitaifa.


Mwalimu mmoja aliyestaafu kutoka Tianjin aligonga vyombo vya habari alipowanunua mbwa wengi ili kuwanusuru
Wakaazi na wafanyibiashara huko Yulin wanasema kuwa wanyama hao huuawa kwa njia nzuri.

 Wanaharakati wanasema kuwa mauaji hayo ni ya kikatili na kwamba kampeni ya mitandaoni ya kupiga marufuku sherehe hiyo imetiwa sahihi na zaidi ya watu milioni 3.8 kufikia sasa na kampeni hiyo kuungwa mkono na watu wengi mwaka huu kutoka watu maarufu wa kitaifa na kimataifa.


Watu maarufu akiwemo mcheshi wa Uingereza Ricky Gervais wamezungumza katika mtandao wa Twitter na alama ya reli StopYuLin2015.
Nyota wa muziki nchini Uchina Chen Kun na msanii Yang Mi wamesema kuwa wanaiunga mkono kampeni hiyo katika mtandao wa Weibo.
nullnull

Islamic Republic of Iran: 74 lashes, prison for eating in public during Ramadan

Here again we see the empire of fear that is so much in evidence also in Saudi Arabia and the Islamic State, and everywhere Sharia is implemented.
“74 lashes, prison term for anyone caught eating in Iran during Ramadan,” NCRI, June 21, 2015 (thanks to The Religion of Peace):
NCRI – Anyone in Iran caught eating or drinking in public during the days in the month of Ramadan may receive 74 lashes in addition to a jail term of up to two months, a high ranking judiciary official of the Iranian regime has threatened.
Dadkhoda Salari, the prosecutor general in the city of Kerman said on Friday: “Any individual who eats or drinks in public places could face a prison term of 10 days to two months and 74 lashes,” the state-run Mehr news agency reported.
Another state-run news agency warned the public that special patrols have been stationed at streets and public parks in Tehran during the holy month of Ramadan to deal with those who drink, eat or smoke in public.
“The police will deal with those individuals who smoke, drink water and other liquids, eat a snack or food in public,” the state-run ISNA news agency reported.
Last year hundreds of Iranians were lashed in public under the medieval laws of the religious dictatorship which can sentence offenders to 74 lashes and two months in prison for eating during Ramadan.
At least 200 people were flogged in last year in the Iranian province of Qazvin for eating in public during Ramadan.
In 2014, Qazvin official Ismail Sadeghi-Niaraki acknowledged the scale of medieval punishments now being carried out within the regime under the rule of so-called ‘moderate’ president Hassan Rouhani.
Iran-lashing

Sunday, June 21, 2015

RISALA YA WATOTO WA KAMBI YA WATOTO (ARIEL CAMP) 2015





Ndugu Mgeni rasmi,

Tunaomba kutambua uwepo wa Mkurugenzi mtendaji wa AGPAHI, Meneja wa Miradi wa AGPAHI – Shinyanga & Simiyu, wafanyakazi wa AGPAHI, Waganga Wakuu wa Mikoa ya Shinyanga na Simiyu, Madaktari kutoka Chama cha Madaktari wa Watoto Tanzania, wapendwa watoto na walezi, wageni waalikwa mabibi na mabwana.

Awali ya yote, tunachukua nafasi hii kumshukuru mwenyenzi Mungu kwa kutuamsha salama siku hii ya leo.

Tunashukuru sana ndugu Mgeni rasmi kwa kuacha shughuli zako na kukubali kuwa pamoja na sisi watoto.

Ndugu mgeni Rasmi,

Karibu katika Kambi yetu nzuri ya Ariel hapa ELCT Bukoba Hotel. Kambi hii ya Ariel ni ya tano kufanyika chini ya shirika la AGPAHI; kambi ya kwanza na ya pili zilifanyika hosteli ya Nyakahoja mkoani Mwanza, na kambi ya tatu na ya nne zilifanyika Uhuru Hotel, Mkoani Kilimanjaro. Kambi hii ya tano inafanyika hapa mkoani Kagera.

Tunapokua kwenye kambi tunapata nafasi ya kujifunza mambo mbalimbali kama vile Taarifa sahihi kuhusu VVU na UKIMWI; Ufuasi mzuri wa dawa na Kuweka wazi hali yetu; Usafi binafsi; Stadi za maisha na Mabadiliko ya tabia kutokana na msukumo wa kundi; Haki na wajibu watoto; Huduma na msaada wa kisaikolojia; Jinsia, mahusiano ya kimapenzi na Uzazi wa Mpango.


Ndugu Mgeni Rasmi
Kambi ya Ariel mwaka 2015 imefanyika hapa Bukoba, Mkoani Kagera kuanzia Jumatatu tarehe 15 Juni na tunategemea kuhitimisha baadae leo tarehe 19 Juni.

Kambi hii ya tano ya shirika la AGPAHI imetukutanisha watoto 57 kutoka Mikoa wa Shinyanga na Simiyu kwa muda wa siku tano. Watoto tuliopo hapa tuna umri wa kati ya miaka 8 hadi 17. Katika muda wa siku 5 tuliokaa hapa tumepata nafasi ya kucheza pamoja michezo mbalimbali, tumechora picha mbalimbali, tumeimba, tumecheza mpira, tumeshiriki kwenye shidano la mrembo na mtanashati wa Ariel Camp, tumepata marafiki, tumekula chakula na pia tumeelewa kuwa AGPAHI inajali watoto wakue na kuishi kwenye matumaini chanya.

Pia tumefanya matembezi na kuona mto Kagera, Kiwanda cha Sukari cha Kagera, kuona na kuelezewa maeneo ya vita vya IDD AMIN na pia tumefika kwenye mpaka wa Tanzania na Uganda eneo la Mutukula.
Tumefurahi sana kwa sababu ni bahati ya aina yake tuliyoipata kupitia shirika la AGPAHI.

Ndugu Mgeni rasmi
Tunapenda kutoa shukrani zetu za pekee kwa shirika la AGPAHI kwa kubuni na kufadhili shughuli hizi za kambi ya watoto na kututhamini na kutuenzi sisi watoto. AGPAHI imetusafirisha kutoka Shinyanga na Simiyu na kutuleta hapa. Tunashukuru kwa kutujali kwa kutupa zawadi mbalimbali. Pia tunashukuru wazazi na walezi wetu kwa kuturuhusu na kutuandaa kwa safari hii yenye historia kubwa katika maisha yetu. Bila kuwasahau wenyeji wetu wa hapa ELCT Bukoba Hotel kwa mapokezi na huduma nzuri ya matunzo, chakula kizuri, malazi na mazingira tulivu.


Ombi
Ndugu Mgeni Rasmi

Tunaomba Serikali yetu iwaunge mkono shirika la AGPAHI ili huduma za kisaikolojia kwa watoto na kambi kama hizi ziendelezwe na zifikie watoto wengi zaidi kila mwaka na pia zienee Tanzania nzima.

AGPAHI inajali watoto, wakue na kuishi kwenye matumaini chanya

Risala hii imeandaliwa na watoto wa kambi ya Ariel mwaka 2015.

HOTUBA FUPI YA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA AGPAHI – BW. LAUREAN R. BWANAKUNU KWENYE UFUNGAJI RASMI WA KAMBI YA ARIEL




Ndugu,
·        Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Kagera,
·        Mganga Mkuu (M) - Kagera,
·        Waganga Wakuu (M) – Shinyanga na Simiyu
·        Madaktari kutoka Chama cha Madaktari wa Watoto Tanzania,
·        Meneja wa Mradi wa AGPAHI – Shinyanga & Simiyu,
·        Wafanyakazi wa AGPAHI,
·        Walezi wa Watoto,
·        Wadau mbalimbali wa Afya na Haki za Watoto, (MDH, ICAP, JHPIEGO, Red Cross, World Vision Kagera, HUYAWA (Huduma ya Watoto), Tumaini Children Centre, Uyacho Orphanage Centre, TADEPA na TACDEN)
·        Watoto wa Kambi ya Ariel,
·        Waandishi wa Habari,
·        Wageni Waalikwa, Mabibi na Mabwana.

Habarini za asubuhi !
Ndugu Mgeni rasmi, Awali ya yote napenda kutoa shukrani kwako kwa kuacha shughuli zako na kuja kujumuika na sisi hapa kwenye Kambi ya Ariel (Ariel Camp). Tunasema asante sana!

Pia napenda kuwashukuru sana walezi waliokuja na watoto toka Simiyu na Shinyanga. Vile vile napenda kuwashukuru wafanyakazi wenzangu wa AGPAHI na wadau wengine kwa jitihada zao za hali na mali katika kuandaa kambi hii ya watoto. Hii ni mara ya kwanza kwa AGPAHI kuandaa kambi hii katika mkoa wa Kagera, tunafarijika sana kuwa hapa.

Ndugu Mgeni rasmi, Shirika la AGPAHI ni shirika lisilo la kiserikali linaloendeshwa na watanzania na watanzania wenyewe ndio sisi hapa. Kuanzishwa kwa shirika linaloendeshwa na watanzania ilitokana na dira ya serikali ya Tanzania na ile ya wafadhili  yaani serikali ya Marekani kutaka wazawa (serikali pamoja na mashirika yasiyo ya serikali) kuendesha miradi mbalimbali inayoshughulikia masuala ya VVU na UKIMWI na masuala ya afya ya mama na mtoto ili kuwa na miradi endelevu.

Shirika letu linatoa huduma katika mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Geita. Huduma zitolewazo ni pamoja na tiba na matunzo, kuzuia maambukizi ya virusi toka kwa mama kwenda kwa mtoto na huduma za uzazi wa mpango.  Hadi mwezi Machi mwaka huu, AGPAHI imeweza kuandikisha wateja 96,638 (wanaume 34,342 na wanawake 55,975) kwenye huduma za matunzo ambapo 6,321 ni watoto walio chini ya umri wa miaka 15 na hii sawa ni asilimia 7.

Vilevile AGPAHI imeweza kuwaanzishia dawa wateja wapatao 63,048 (wanaume 21,555 na wanawake 36,969) kwenye huduma za tiba ambapo watoto ni 4,524 ambayo ni sawa na asilimia 7.

Dira ya shirika ni kuhakikisha tunatokomeza maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa watoto na kuondoa UKIMWI kwa watoto. Katika kutekeleza azma hiyo shughuli mbalimbali zinatekelezwa ikiwa ni pamoja na kuwapatia watoto huduma za matunzo na matibabu pamoja na huduma za kisaikolojia. Katika mikoa ya Shinyanga na Simiyu, kuna jumla ya watoto 694,454[1] kati yao watoto 6,321 wanaishi na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.

Mgeni Rasmi, shirika la AGPAHI lilianza huduma za malezi na kuwakutanisha watoto katika vikundi vidogo vidogo baada tuu ya kuanzishwa kwake. Vikundi hivi vipo katika vituo vya kutolea huduma za afya (yaani CTC) ambapo hadi sasa tuna jumla ya vikundi vipatavyo 35 (vikundi 19 kwa mkoa wa Shinyanga na vikundi 16 kwa mkoa wa Simiyu). Vikundi hivi vina jumla ya watoto 1,541.

Kutokana na kuundwa kwa vikundi hivyo, AGPAHI iliweka utaratibu wa kuendesha kambi ili kuwakutanisha watoto kutoka kwenye vikundi mbalimbali kwa lengo la kujifunza kuhusu afya na stadi za maisha na pia kubadilishana uzoefu. Kambi hizi pia huwajenga watoto na kuwafanya mabalozi wa huduma za watoto katika jamii. Kambi hizi za watoto zimekuwa zikifanyika mara moja kwa mwaka; ambapo kwa mwaka huu tumeweza kufanikisha kuwa na kambi mbili. Hii inamaanisha watoto wengi zaidi wanapata nafasi ya kushiriki kwenye kambi.

Mgeni Rasmi, kambi hii ambayo tunaifunga rasmi leo ni ya tano kufanyika na kauli mbiu ya kambi hii ni “AGPAHI inajali watoto wakue na kuishi kwenye matumaini chanya.” Kambi za awali zilifanyika katika mikoa ya Pwani, Mwanza na Kilimanjaro. Hii ni mara ya kwanza kufanyia kambi ya watoto katika Mkoa wa Kagera na tumefurahia mandhari nzuri ya mkoa huu.

Kambi hii imefanyika kwa muda wa siku tano na imekua na idadi ya watoto wapatao 57 wenye umri wa kuanzia miaka 8 hadi 17.  Watoto hawa wanatoka katika vituo mbalimbali kwenye halmashauri zote za mikoa ya Shinyanga na Simiyu.

Katika kipindi hiki cha wiki moja, watoto wameweza kujifunza mambo mbalimbali kama vile: Usafi binafsi; Stadi za maisha na Mabadiliko ya tabia kutokana na msukumo wa kundi; Taarifa sahihi kuhusu VVU na UKIMWI; Haki na wajibu watoto; Huduma na msaada wa kisaikolojia; Jinsia, mahusiano ya kimapenzi na Uzazi wa Mpango; Ufuasi mzuri wa dawa na Kuweka wazi hali yako (disclosure).
Katika wiki hii ya kambi, watoto pia wameweza kupata huduma ya kisaikolojia pamoja na kuhudumiwa na madaktari wa watoto kutoka Chama cha Madaktari wa Watoto Tanzania.

Mbali na mafunzo, watoto pia wamefanya matembezi na kuona mto Kagera, Kagera sugar factory, kuona na kuelezewa maeneo ya vita vya IDD AMIN na pia wamefika Mutukula (mpaka wa Tanzania na Uganda).

Ningependa kutambua washindi wa Shindano la Mr and Miss Ariel camp ambalo lilifanyika jana usiku. Washindi wetu walikua James Jackson (Mr. camp) kutoka Zahanati ya Bugarama (MSALALA) na Anastazia Daniel (Miss Camp) kutoka Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga. Naomba wasimame na tuwapigie makofi.

Ndugu mgeni rasmi, napenda kutoa shukrani zetu kwa Watu wa Marekani kupitia shirika lao la CDC ambao ndio wahisani wa kambi hii.   Hata hivyo tuna wafadhili wetu wengine kama EGPAF, UNFPA na USAID ambao nao wanatusaidia katika kazi zetu. Pia shirika letu linafanya kazi kwa karibu sana na ofisi ya Waziri Mkuu –TAMISEMI na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
ASANTENI KWA KUNISIKILIZA!

LAUREAN RUGAMBWA BWANAKUNU



Ecobank shareholders laud strong company performance


Pan-African bank concludes 27th AGM in Dar es Salaam, Tanzania
 
DAR ES SALAAM, Tanzania, June 19, 2015/ -- Ecobank Transnational Incorporated (“Ecobank”), parent company of the Ecobank Group, the leading pan-African bank with operations in 36 countries across the continent, concluded its 27th Annual General Meeting in Dar es Salaam, Tanzania today.
 

Shareholders welcomed the company’s strong performance for the year ended 31 December 2014. At the end of the year, Ecobank had US$24.2 billion in total assets and US$2.7 billion in total equity.
 
Shareholders approved the company’s accounts for 2014 and the appropriation of profit of USD 5.82 million for the year. A sum of USD 0.87 million was transferred to special reserves and USD4.85 million to retained earnings.
 
Mr Bashir Ifo, a director representing the ECOWAS Bank for Investment and Development, who completed his term of office, was reappointed for another three-year term.
 
Shareholders also ratified the co-option of Dolika Banda, Graham Dempster and Sheila Mmbijjewe as directors for a term of three years respectively. Alain Francis Nkontchou was also elected as a director on the board for a three-year term. 
 
The firms Akintola-Williams Deloitte Nigeria, and Grant Thornton, Côte d’Ivoire were appointed as Joint Auditors for a one year term.
 
The meeting also approved the issue of bonus shares, out of retained earnings, of one ordinary share for every fifteen ordinary shares held on the closure of the company’s share register, in accordance with the rules of the stock exchanges on which Ecobank’s shares are listed. The new shares issued will rank equally with existing ordinary shares of the company. The meeting authorised the board of directors to determine the modalities for the issue as it deems appropriate.
 
Ecobank Group Chairman Emmanuel Ikazoboh said: “Our accounts for FY 2014 have shown a resurgent Ecobank, which enjoys the confidence of all its stakeholders: shareholders gathered here, customers and its dedicated staff. We can expect similar positive performance for 2015.”
 
Outgoing Ecobank Group CEO Albert Essien said: “Our diversified pan-African business model continues to serve us well, with encouraging underlying performance in our line of businesses and geographic areas of coverage. We are pleased with our cost efficiency gains, which led to our cost-income ratio improving in 2014 to 65.4 percent from 70.1 percent.”
 
Shareholders recognised the invaluable contributions of Essien, who, having reached the company’s mandatory retirement age of 60, retires from the company on June 30 after 25 years of meritorious service. A new successor, Mr Ade Ayeyemi, has been appointed to replace Mr Essien and will assume office on the 1st of September, 2015. The General Meeting welcomed this appointment.