Rais Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete, akiwa ameongozana na mke wake Mama Salma Kikwete, wakipokelewewa nyumbani kwa Waziri
wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa
CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa
amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete, na Mama Salma Kikwete, wakitambulishwa kwa watoto wa Waziri
wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa
CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau nyumbani kwa marehemu Magomeni jijini Dar es salaam walipofika kufariji wafiwa.
No comments:
Post a Comment