Wednesday, May 01, 2013

MAMBO YA BURUDANI WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI KATIKA UKUMBI WA KLABU YA LINA'S

 Baadhi ya maofisa wa serikali wakifurahi, anayecheka ni mkuu wa jeshi la polisi wilaya ya Bukoba, Bw. Manyama, huyu ni mjumkuu wa wahaya.
 Maofisa wengine wa serikali, toka kushoto ni mchumi wa mkoa wa Kagera, Bw. Anyosisye, meneja wa mkoa wa mamlaka ya mapato Kagera, Leonard Shija, Bw. Malekela wa hazina ndogo na msaidizi wa mkuu wa mkoa wa kagera Katumwa.





No comments:

Post a Comment