RAIS KIKWETE AWASILI NCHINI ETHIOPIA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na maafisa wa ubalozi pamoja na
wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa mara alipowasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa,
Ethiopia, Ijumaa Mei 24, 2013 usiku tayari kuungana na viongozi wenzie
wa Afrika pamoja na wageni waalikwa katika sherehe za miaka 50 toka
umoja wa Afrika (OAU na AU) kuanzishwa pamoja na mkutano wa kawaida wa
umoja huo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Bole jijini Addis Ababa, Ethiopia, Ijumaa Mei 24, 2013 usiku tayari
kuungana na viongozi wenzie wa Afrika pamoja na wageni waalikwa katika
sherehe za miaka 50 toka umoja wa Afrika (OAU na AU) kuanzishwa pamoja
na mkutano wa kawaida wa umoja huo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
Mama Salma Kikwete wakisikilia maelezo toka kwa Balozi wa Tanzania
nchini Ethiopia Profesa Joram Biswalo maara baada ya kuwasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa, Ethiopia,
Ijumaa Mei 24, 2013 usiku tayari kuungana na viongozi wenzie wa Afrika
pamoja na wageni waalikwa katika sherehe za miaka 50 toka umoja wa
Afrika (OAU na AU) kuanzishwa pamoja na mkutano wa kawaida wa umoja
huo.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment