Friday, May 24, 2013
DR. KAMALA AKABIDHI ILANI
Balozi
wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Mabalozi wa Ushirikiano
kwa Manufaa ya Wote - Brussels Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai)
akimkabidhi Ilani ya Ushirkiano kwa Manufaa ya Wote Mkuu wa Kitengo
cha Ushirikiano wa Kibiashara Cha Jumuiya ya ulaya Bibi Sandra Gallina.
Kulia kwa Bi. Sandra ni Dr. Mihela Smith Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya
Ushirikiano kwa Manufaa ya Wote (Smart Partnership). Mabalozi wa nchi za
Afrika, Karibiani na Pacific na wadau wengine wamekutana leo Brussels,
Ubelgiji kujiandaa kwa ajili ya Mkutano wa Ushikirikiano kwa Manufaa ya
Wote utakaofanyika Dar es Salaa mwishoni mwa mwezi wa sita mwaka huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment