Taswira wakati Rais Kikwete alipotembelea hospitali ya St Elizabeth jijini Arusha Mei 7, 2013  kufariji majeruhi wa mlipuko wa bomu katika kanisa la Olasiti jijini humo Jumapili iliyopita

PICHA NA IKULU