Thursday, May 02, 2013

SERIKALI YA JAPAN YATOA MSAADA WA PIKIPIKI KAGERA


 Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe akiongea kabla ya kukabidhi pikipiki za msaada zilizotolewa na serikali ya Japan kupitia kwenye shirika lake la maendeleo (JICA) zitakazotumiwa na maofisa ugani kwa ajili ya kukagua masuala ya kilimo, pikipiki zilizotolewa ni nane na zitasambazwa kwenye wilaya zote zilizoko mkoani humo.
 Baadhi ya maofisa wa serikali ya mkoa wa Kagera walioudhuria hafla ya kukabidhi pikipiki za msaada.



Massawe akijaribu kuwasha moja pikipiki zilizotolewa kabla ya kuzikabidhi.

No comments:

Post a Comment