Balozi wa Tanzania BANELUX na Jumuiya ya Ulaya Balozi Dr. Diodorus
Buberwa Kamala akiweka sahihi Hati ya Makubaliano na taasisi ya Uholanzi
ya SANEC kwa ajili ya SANEC kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania BENELUX
kutekeleza Sera ya Tanzania ya Diplomasia ya Uchumi. Kushoto ni Bwana
Mark Agterdenbosch Meneja Mkuu wa SANEC. Uwekaji sahihi umefanyika leo
The Hague Uholanzi.
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye
tai yenye rangi ya taifa) akipeana mkono na Bwana Mark Agterdenborsh
Meneje Mkuu wa SANEC baada ya uwekaji sahihi Hati ya Makubaliano ya
kushirikiana kutekeleza sera ya Tanzania ya Diplomasia ya Uchumi.
Shughuli ya uwekaji sahihi imefanyika leo, The Hague, Uholanzi.
No comments:
Post a Comment