Wednesday, January 23, 2013

WASHIKA DAU WA HABARI KAGERA WAKIBURUDIKA

Baadhi ya waandishi wa habari wakiburudika kwenye miti iliyoko nyuma ya jengo la Chama Cha Mapinduzi la mkoa wa Kagera lililoko katika manispaa ya Bukoba, kutoka kushoto ni Antidius Kalunde (Tanzania Daima), Audax Mutiganzi (Clouds Television) , mdau wa habari kagera, kutoka kulia ni Charles Mwebeya (Tanzania Broadcasting Corporation) na Angela Sebastian (Uhuru/ Mzalendo).

No comments:

Post a Comment