Monday, January 07, 2013

JK AFUNIKA IGUNGA

 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wananchi wa Igunga waliokuja kumlaki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutumia mamia ya wananchi wa Igunga katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga.

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment