Monday, January 21, 2013

KIKAO CHA KUTATHIMINI ILANI YA CCM HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOBA

 Baadhi ya viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa walioalikwa kuhudhulia kikao cha tathimini ya utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinnduzi (CCM) halmashauri ya wilaya ya Bukoba.
 Baadhi ya viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Bukoba,kutoka kushoto ni afisa tawala wa wilaya ya Bukoba, Clement Ndyamkama, Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya Bukoba Banyenza na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Bukoba Bw. Kateme.
 Baadhi ya walioudhulia kikao hicho.
 Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Bukoba, akitoa taarifa ya utangulizi wakati wa kikao hicho.
Mbunge wa viti maalumu Bi. Bernadetha Mshashu alikuwa miongoni mwa walioudhulia kikao hicho.

No comments:

Post a Comment