Wednesday, January 23, 2013

MAOFISA WA JESHI LA POLISI KAGERA AMBO NI WAKAGUZI WA TARAFA WAKABIDHIWA PIKIPIKI

 Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera, Philip Kalangi akiongea na baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi kagera wakaguzi wa tarafa ambao wamekabidhiwa pikipiki kwa ajili ya kuhubiri dhana ya polisi jamii.
 Sehemu ya pikipiki zilizogagwiwa.
 Kamanda Kalangi akiwasha moja ya pikipiki alizozigawa.
 Maofisa wa jeshi la polisi wakizipasha moto pikipiki hizo.

Mkaguzi wa tarafa ya Nshamba na Kamachumu, inspecta msaidizi, Faustina Mwakapangala akitoa neno la shukrani kwa niaba ya waliokabidhiwa pikipiki.

No comments:

Post a Comment