Tuesday, January 15, 2013

MAFUNZO YALIYOANDALIWA NA KIKOSI CHA ZIMAMOTO

 Moto ukiwashwa na Afisa wa Jeshi la Zima Moto Mkoa Kagera Tayari kwa Mafunzo kwa Vitendo
 Afisa wa Jeshi la Zima Moto Mkoa Kagera Bw. James Kisaka Akionyesha Mfano Jinsi ya Kuzima Moto Kwenye Chanzo.
 Bw. Richard Kwitega Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Utumishi Akijaribu Kama Mtungi una Gesi ili Akazime Moto, Hiyo ni Hatua ya Kwanza Kabla ya Kuekea Kwenye Chanzo cha Moto
 Huyu Mama Anaitwa Consolatha Mtumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera Hakubaki Nyuma Katika Mafunzo Hayo


No comments:

Post a Comment