Friday, January 18, 2013

CHAMA CHA USHIRIKA KAGERA CHAIWEZESHA BENKI YA WAKULIMA KAGERA (KFCB)

Meneja mkuu wa chama cha ushirika Kagera (KCU), Vedasto Ngaiza (kulia) akiongea na waandishi wa habari, alikuwa akielezea mikakati wa chama hicho wa kuwawezesha wakulima kupata mikopo, alisema benki hiyo imeiwezesha benki hiyo jumla ya shilingi bilioni 1.5.

No comments:

Post a Comment