Sunday, January 13, 2013

MANDHARI YA BAADHI YA MENEO YANAYOZUNGUKA BANDARI YA BUKOBA

 Mabanda ya wauza samaki.
 Wafanyabiashara wa samaki aina ya dagaa hupatikana ndani ya ziwa victoria.
 Eneo la Mwalo.
 Mv Victoria.
 Meli ya Mv Victoria ambayo hufanya safari zake ndani ya ziwa victoria katika ya mikoa ya Mwanza na Kagera.

No comments:

Post a Comment