KILIMO CHA MPUNGA
Watoto wa kijiji cha Luchili wilayani Sengerema wakiandaa shamba kwa
jili ya kupanda mpunga Januari 22, 2013. Zao la Mpunga hivi sasa
linalimwa na wananchi wengi wa mikoa ya Mwanza na Shinyanga kwa ajili ya
chakula na Biashara. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment