Wednesday, January 02, 2013

BALOZI WA TANZANIA NCHINI UBELGIJI DR. DIODORUS KAMALA ALIVYOSHEREKEA MWAKA MPYA

 Dr. Kamala akiwa na wageni aliwaalika kusherekekea mwaka mpya 2013.
 Mmoja wa wawalikwa akiongea wakati sherehe ya kuukaribisha mwaka 2013.
 Dr. Kamala kulia akiwakaribisha wageni aliowaalika, kushoto ni mke wake.
Mambo ya makulaji hayo.

No comments:

Post a Comment