Saturday, January 05, 2013
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MSHAURI WA KIJESHI WA UMOJA WA MATAIFA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mshauri Mkuu wa Kijeshi
wa Umoja wa Mataifa Luteni Generali Babacar Gaye baada ya kuonana naye
Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 4, 2013.Kushoto Mbele ni Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mahadhi Mahadhi
Juma Maalim, akifuatiwa na Mkuu wa Majeshi Tanzania Jenerali Davis
Mwamunyange, na wa pili kulia ni Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika
Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi na wengine ni maafisa waandamizi
katika JWTZ na Umoja wa mataifa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment