Monday, January 07, 2013

MSTAHIKI MEYA WA HALMASHURI YA MANISPAA YA BUKOBA< ANATORY AMANI ALIVYOPANIA KUUBORESHA MJI WA BUKOBA

 Huu ndio uliokuwa muonekano wa baaadhi ya barabara za manispaa ya Bukoba nchini na baadhi ya viongozi walioko madarakani na uongozi uliopita, barabara hii ni ya eneo la mtaa wa kashenye uliko kata ya Kashai, imekarabatiwa kwa kiwango kikubwa, ukarabati huu ni nguvu ya mstahiki meya wa manispaa ya Bukoba Dr Anatory Amani.

Baadhi ya barabara zilikuwa katika hali mbaya ambazo zimekaratiwa chini ya uongozi wa Meya Amani, barabara hizi hata wabunge waliwahi kuliongoza jimbo la Bukoba walishindwa kuhakikisha zinakarabatiwa.

No comments:

Post a Comment