Monday, January 14, 2013

DAMPO LILILOKO ENEO LA BANDARI YA KASTAMU LINAVYOWAKERA WANANCHI

 Mambo ya dampo la kastamu linalowakera wananchi wanaozunguka bandari.
Hili ndilo dampo ambalo uongozi wa manispaa ya Bukoba umeshindwa kuliondoa, wananchi wanalilalamikia liko karibu na maeneo yaliko magenge ya vyakula.

No comments:

Post a Comment