Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kushoto) wakitazama ngoma kutoka katika kikundi cha sanaa cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga Septemba 25, 2013. Mheshimiwa Pinda anatarajiwa kufungua Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Kaskazini Mjini Tanga Septemba 26, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wednesday, September 25, 2013
WAZIRI MKUU PINDA AKAGUA GFHALA LA MAHINDI
Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda akikagua akiba ya mahihindi wakati alipotembelea Maghara ya Kitengo cha Usalama wa Chakula, (NFRA) mjini Arsha
Septemba 25, 2013. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Kilimo, chakula
na Ushirika, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kushoto) wakitazama ngoma kutoka katika kikundi cha sanaa cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga Septemba 25, 2013. Mheshimiwa Pinda anatarajiwa kufungua Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Kaskazini Mjini Tanga Septemba 26, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kushoto) wakitazama ngoma kutoka katika kikundi cha sanaa cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga Septemba 25, 2013. Mheshimiwa Pinda anatarajiwa kufungua Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Kaskazini Mjini Tanga Septemba 26, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment