Sunday, September 29, 2013
KONGAMANO LA UWEZESHAJI WA MIKOA YA KASKAZINI
Baadhi
ya Washiriki wa Kongamano la uwekezaji kwa
mikoa ya Kanda ya Kaskazini wakimsikiliza Waziri mkuu, Mizengo Pinda
wakati alipofungua kongamano lao kwenye hoteli ya Mkonge mjini Tanga , Septemba
26, 2013. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama sketi
iliyoshonwa kwa mtindo wa vazi la
asili la watu wa Hanang wakati
alipotembelea banda la Wilaya hiyo katika maonyesho yaliyoambatana na Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Kaskazini lililofunguliwa na Waziri Mkuu
kwenye hoteli ya Mkonge Mjini Tanga Septemba 26, 2013. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mku, Uwezeshajina Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa Hanang, Dr.Mary Nagu,
Wapili Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,
Chiku Galawa na wapili kulia ni Mkuu wa WIlaya ya Hang, Christina Mdeme. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment