Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Kitabu cha Miaka 10 ya Kamati za
Bunge za Hesabu za Serikali kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo
ya Kusini mwa Afrika(SADCOPAC) baada ya Kufungua Mkutano wa mwaka wa
WA SADCOPAC kwenye kituo cha Mikutano cha kimataifa cha Arusha AICC
Mzee wa Kimasai akipuliza zumari wakati kikundi cha ngoma cha wamasai
cha Arusha kilipotumbuiza katika mkutano wa mwaka wa Kamati za Bunge za
Hesabu za Serikali kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya
Kusini mwa Afrika (SADCOPAC) kwenye kituo cha Mikutano cha kimataifa cha
Arusha AICC.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Mkutano wa
Mwaka wa Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kwa Nchi Wanachama
wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADCOPAC) baada ya
kufungua mkutano wao kwenye kituo cha Mikutano cha kimataifa cha Arusha
AICC.
No comments:
Post a Comment