Tuesday, September 03, 2013

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward  Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 3, 2013. Katikati ni waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe.



 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Marekani Nchi aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt, Ofisisni kwake Bungeni Mjini Dodoma Septemba 3, 2013. Balzo huyo alikweda kuaga.


No comments:

Post a Comment