Sunday, September 08, 2013

OPERATION MAALUMU YA KUWAONDOA SWAHAMIAJI HARAMU NA WANAOMILIKI SILAHA KINYUME NA SHERIA YAANZA KATIKA MIKOA YA KIGOMA, KAGERA NA GEITA

 Kanali mstaafu Fabian Massawe, mkuu wa mkoa wa Kagera akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari wakati akielezea kuanza kwa zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu na wanaomiliki silaha kinyume na sheria, kushoto ni kiongozi wa operation hiyo Simon Sirro.
 Baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi mkoani Kagera.

 Baadhi ya waandishi wa habari.



No comments:

Post a Comment