Wednesday, September 11, 2013

SHAMBA LA ZABIBU LA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA

  Bibi Silvana Nhungwe akivuna zabibu katika shamba la Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda lililopo eneo la Zuzu mjini Dodoma Septemba 11, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Watu wakivuna zabibu kwenye Shamba la Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo PInda lililopo Zuzu mjini  Dodoma Septemba 11, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment