Wednesday, September 18, 2013

WAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA MAONYESHO

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria ufunguzi wa maonyesho ya Sulgo Sokoni yaliyoandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa  na Serikali za Mitaa ikishirikiana na Shirika la GTZ la Ujerumani kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Septemba  18, 2013. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa  Ghasia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama machapishombalimbali yanayohusu uongozi  baada ya kufungua maonyesho ya Sulgo Sokoni yaliyoandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa  na Serikali za Mitaa ikishirikiana na Shirika la GTZ la Ujerumani kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Septemba  18, 2013. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa  Ghasia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimvalisha beji Mkaguzi wa ndani aliyesajiliwa kutoka kutoka  Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Tubagile Namwenje baada ya kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Wakaguzi wa Ndani kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa AICC jijini Arusha , Septemba 18, 2013.  Katikati ni Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya.  (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment