Tuesday, March 05, 2013

WAZIRI MKUU WA DENMARK AWASILI TANZANIA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri mkuu wa Denmark Mhe.Helle Thorning-Schmidt muda mfupi baaday kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo alipokea maua,kukagua gwaride na kungalia ngoma za utamaduni(picha zote na Freddy Maro)




No comments:

Post a Comment