Tuesday, March 05, 2013

PROFESA TIBAIJUKA AWASILI KAGERA ALAKIWA NA MAELFU

 Baadhi ya wananchi toka wilaya mbalimbali zilizoko mkoani Kagera waliojitokeza kumlaki Profesa Anna Tibaijuka ambaye hivi karibuni Jakaya kikwete rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania alimteua kuwa mmpja wa wajumbe wa kamati kuu ya CCM taifa.
 Profesa Tibaijuka ambaye ni waziri pia wa nyumba, makazi na ardhi akivishwa stafu mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba.
 Mambo ya ngoma ya aina ya Kasimbo iliyoburudisha wakati wa mapokezi ya Profesa Tibaijuka.
 Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Kagera, Bi. Costancia Buhiye akiwa na Profesa Tibaijuka.


Kulia ni mkuu wa wilaya ya Bukoba Bi.Ziporah Pangani alikuwa ni mmoja wa waliojitokeza kumlaki Profesa Tibaijuka.

No comments:

Post a Comment