Tuesday, March 05, 2013

WAZIRI MKUU PINDA AHAMASISHA UFUGAJI WA NYUKI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitundika mzinga wa nyuki ili kuhamasisha ugaji nyuki na usindikaji wa asali nchini, wakati alipokwenda kwemye kijiji cha Agondi wilayani Manyoni, Machi 4, 2013. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment