Thursday, March 14, 2013

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo (kulia) na Waziri wa Kilimo na Chakula, Mhandisi Chrstopher Chiza Wakishiriki katika  mjadala kuhusu maendeleo ya LABS ya kilimo  yaaani mabara ya kufanya utafiti wa matatizo yanayoikabili sekta ya kilimo nchini na ufumbuzi wake  kwenye hoteli ya Whitesands jijini Dar essalaam Machi 13, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na  Waziri wa Nchi wa Biashara na Maendeleo wa Irelanda, Bwa.  Joe Costello, ofisini kwake jijini Dar es salaam March 13, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment