Thursday, March 07, 2013

SHAMRASHAMRA ZA SIKU YA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WANAWAKE

 Mtandao wa jinsia wa kike wa jeshi la polisi mkoani Kagera ukiwa katika kituo cha kulea watoto yatima cha Tumaini, mtandao huo uliawapatia yatima wanaolelewa katika kituo hicho kilichoko katika manispaa ya Bukoba Misaada mbalimbali.
 Baadhi ya wakina mama wa umoja wa vyama vya wafanyakazi (UWATUKA) walikuwa miongoni mwa waliotoa msaada kwa yatima wa kituo hicho.
 Baadhi ya wanawake walioguswa na maisha ya watoto yatima.


Baadhi ya watoto yatima.

No comments:

Post a Comment