Sunday, March 10, 2013

POLISI WAONGEZEWA ELIMU JUU YA POLISI JAMII NA ULINZI SHIRIKISHI

 Mkuu wa kitengo cha polisi jamii na ulinzi shirikishi nchini Benedict Mambosasa akiongea na askari mkoani Kagera dhana nzima ya polisi jamii na ulinzi shirikishi, kulia ni kamanda wa mkoa wa Kagera, Philip Kalangi.
 Baadhi ya askari wa jeshi la polisi wakimsikiliza kwa makini, Bw. Mambosasa.



Mwenyekiti wa mtaa wa Osterbay jijini Dar es salaam, Peter Mushi mhamasishaji mkubwa wa dana ya polisi jamii na ulinzi shirikishi akielezea askari namna ya kutumia dhana hiyo kupunguza uharifu mkoani Kagera.

No comments:

Post a Comment