Thursday, March 26, 2015

UZINDUZI WA BODI YA PAROLE YA MKOA WA KAGERA

 Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera Henry Mwaibambe  na mkuu wa gereza la Bukoba walikuwa miongoni mwa walioudhuria uzinduzi huo.

 Mkuu wa mkoa wa Kagera, John Mongella akizungumza na walioudhuria uzinduzi wa bodi ya Parole ya mkoa wa Kagera.
 Baadhi ya maofisa wa jeshi la magereza kagera.
 Mkuu wa jeshi la magereza mkoani Kagera, Omary Mtinga (kulia) akitafakari jambo wakati wa uzinduzi huo.
 Askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini (kushoto) ni mwenyekiti wa bodi ya Parole ya mkoa wa Kagera.


No comments:

Post a Comment