Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi Mteule wa Japan Nchini
Tanzania, Mhe. Masahiro Yoshida kwenye Hoteli ya New Otani jijini Tokyo
Machi 13, 2015 ambako Machi 14, 2015 anatarajiwa kumwakilisha Rais
Jakaya Kikwete katika Mkutano Kuhusu namna ya kukabiliana na maafa
utakaofanyika Sendai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
No comments:
Post a Comment