Wednesday, March 25, 2015

TUKIO LA JESHI LA POLISI LA KUWANASA WATU WAWILI WALIKUTWA NA MIFUPA YA BINADAMU

Mwandishi wa habari wa TBC, Charles Mwebeya akiwaangalia kwa makini watuihumiwa wa kukutwa na viungo vya albino ambavyo ni pamoja na mikono na miguu.
 Hii ndio mifupa ya marehemu aliyekuwa mlemavu wa ngozi aliyefariki muda mfupi baada ya kujifungua, mifupa hii ilikuwa na watu wanaoshikiliwa na polisi waliokuwa wakiiuza kwa shilingi milioni 3, watu hao waliipata mifupa hiyo baada ya kuchimba kaburi la marehemu huyo.
 Afisa upelelezi wa makosa ya jinai katika mkoa wa Kagera Gilles Muroto aliyeshiriki  kikamilifu katika kufanya upelelezi wa tukio hilo.



 Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera Henry Mwaibambe akimsikiliza kwa makini afisa upelelezi wa makosa ya jinai katika mkoa wa Kagera,
Wawili katikati ndio watuhumiwa wa kukutwa na vioungo vya albino wanaoshiukiliwa na polisi, walikuwa wakiuza viungo hivyo kwa shilingi milioni tatu, pia wanakiri kutenda kosa hilo, je ndugu zangu mnashauri wafanyweje?

No comments:

Post a Comment