PMO PHOTOS-MAMA PINDA NA WNAHARAKATI WA AMANI WA JAPAN
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza na Mtafiti Mwandamizi wa
Taasisi ya INSTITUTE FOR PEACE POLITICIES ya Japan, Yoshihiro
Yamazaki (kulia) na Katibu Mkuu wa tasisi ya amani ya Universal Peace
Federation ya Japan, Seiichi Kikuya katika chakula cha jioni
alichoandaliwa na Tasisi hiyo kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo
Machi 16, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment