Sunday, March 15, 2015

MAMA PINDA ASALIMIANA NA MKE WA WAZIRI MKUU WA JAPAN

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisaliiana na Mke wa Waziri Mkuu wa Japan, Mama Akie Abe  katika hafla iliyoandaliwa na Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe kwa washiriki wa Mkutano wa tatu wa dunia  kuhusu upunguzaji wa hatari ya majanga duniani ulioanza machi 14 katika mji wa Sendai Japan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment