Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Huduma Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania
(TFDA) Dk. Sikubwabo S. Ngendabanka Akitoa Neno Mabele ya Waandishi wa
Habari ( Hawapo Pichani) Kabla ya Kukabidhi Maabara Hamishika.
Dk. Ngendabanka Akimkabidhi Rasmi Maabara Hamishika Kaimu Katibu Tawala
Mkoa Bw. Richard N. Kwitega, Katikati ni Mganga Mkuu Hospitali ya Mkoa
Dk. Khairoonisa Pathan.
No comments:
Post a Comment