KATIKA KUSHEHEREKEA SIKUU YA IDDI WATANZANIA WAMEOMBWA KUDUMISHA AMANI ILIYOPO HAPA NCHIN
Alhaji
Yusufu Saidi Mfinanga wa kibaha Njuweni Pamoja na Mke wake Mama Mfinanga
wamewaomba Watanzania kudumisha
amani na upendo kwa kuondoa tofauti zetu za kidini kisiasa kwani kufanya hivyo
mwenyezi mungu ataendelea kuijalia amani na baraka iliyo kuwepo hapa nchini
kwani kupendana kutaleta maendeleo katika nchi tuswali na kuheshimu
mamlaka za serekali zilizopo kwani mafundisho ya dini zote yafundisha amani upendo
na utii.
No comments:
Post a Comment