Saturday, August 10, 2013

MAMMBO YA SIKUKUU YA IDD

 Ma Ernestina Mwesiga akiwa na wajukuu zake, wa kwanza kulia ni Ayesiga Rugalabamu, kushoto Kalumuna Rugalabamu na Muumuliza.
 Margreth Abella akiwa na Ma Erenestina, hili ni eneo la kijiji cha Rushasha katika tarafa ya Bugabo.


 Mlima wa kutoka eneo la kijiji cha Rushasha kuelekea Barabara kuu ya kutokea Rubafu.
Ayesiga na Kalumuna wakiwa kwenye moja ya pango linalopatikana eneo la mlima wa Rushasha.

No comments:

Post a Comment