PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Waziri wa Uchumi, Biashara na
Viwanda wa Japan, Mheshimiwa Toshimistu Motegi baada ya kukutana na kufanya
mazungumzo naye Ikulu, Dar Es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda wa Japan, Mheshimiwa Toshimistu Motegi (wa tatu kushoto, mbele) na ujumbe wake pamoja na Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji Dr Mary Nagu (wa pili kulia), Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda (wa pili kushoto), Balozi wa Tanzania nchini Japan Mhe Salome Sijaona (wa kwanza kushoto) alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu, Dar Es Salaam.
No comments:
Post a Comment