Waziri Mkuu, Mizen go Pinda akizungumza na Mbunge wa kahama, James
Lembeli (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum,Maria Hewa kwenye viwanja
vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Ireland nchini,
Mhe. Fionnuala Gilsenan, Ofisini kwake , Bungeni Mjini Dodoma Novemba
7, 2012. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment