Migomba ambayo imeathirika na ugonjwa wa unyanjano maarufu kwa jina la mnyauko.
Ugonjwa wa mnyauko ulivyochangia upatikanaji mdogo wa ndizi mkoani Kagera hili ni soko la kamachumu ambalo ndizi zilikuwa zikipatikana kwa wingi na kuuzwa kwa bei ndogo, sasa soko hilo lipo kama halipo.
No comments:
Post a Comment