Wednesday, November 21, 2012

KAMPUNI YA MAFUTA YA SURINDER SINGH YATOA MSAADA KWA WALEMAVU

 Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe akimpongeza peter Kakulu mwakilishi wa kampuni ya Surinder Singh iliyotoa msaada wa baiskeli mbili za miguu mitatu kwa ajili ya walemavu zenye thamani ya zaidi ya shilingi 600,000.
 Massawe akikagua baiskeli za msaada.
 Walionufaika na msaada uliotolewa.

Massawe akiongea na walioudhuria hafla fupi ya kukabidhi baiskeli kwa walemavu.

No comments:

Post a Comment