WANA CCM DIASPORA WATIA FORA KIZOTA, DODOMA
  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu 
Mizengo Pinda wakisalimiana na  viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni 
(mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho 
huko Kizota mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Katibu wa CCM tawi la Diaspora UK  Mariamu Mungula.
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment