PINDA ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAKWETA
Rais Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Spika wa Bunge Anne
Makinda (kushoto) na katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu,Philemon Lihanjo
wakizungumza nyumbani kwa marehemu Jackson Makweta, Boko jijini Dar es
salaam ambako walitoa heshima za mwisho kwa marehemu na kumpa pole Mjane
wa Marehemu, Twihuvila Makweta.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment