Kwa
masikitiko makubwa nimesoma katika gazeti la Mwananchi kwamba nimeiponda
safu ya uongozi na sekretariati ya CCM. Mimi sijaongea na gazeti lolote
juu ya uongozi wa CCM na wala sina nia au sababu ya kuuponda uongozi
huo. Ni vibaya kwa
gazeti lo lote lile kutumia jina la mtu kwa kueneza maoni yake. Kama ni
waugwana natumaini watasahihisha waliyoyaandika. Nasikitika sana kwa
walikwazwa na hilo. Askofu Kilaini
Askofu Method Kilaini
Bukoba Catholic Diocese
No comments:
Post a Comment